Zanzibar Heroes kutupa karata yao leo
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/zanzibar-heroes-kutupa-karata-yao-leo.html
Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Maarufu kama Morocco ametangaza Kikosi ambacho Kitaanza dhidi ya Rwanda cecafa leo 5 December 2017 katika mchezo wa Kundi A.
Kikosi cha kwanza
Kikosi cha kwanza
- Mohammed Ibrahim Wawesha
- Ibrahim Mohammed Sangula
- Haji Mwinyi
- Abdul Sebo
- Haidary Dau
- ABdulaziz Makame Abui
- Mudathir Yahya
- Mohammed Issa Banka
- Ibrahim Mohammed lika
- Faisal Salum
- Kassim Selembe
Wachezaji wa Akiba
Ahmed Ally
Ibrahim Abdallah
Habib Saleh
Seiph Karihe
Kassim Suleiman
Amour Pina
Abdallah Shaibu Ninja