Nyika amaliza utata swala la Donald Ngoma
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/nyika-amaliza-utata-swala-la-donald.html
Siku moja mara baada ya Donald Ngoma kuitwa timu ya Taifa ya Zimbabwe itakayoshiriki michuano ya COSAFA huku baadhi ya maelezo yakimtaja Ngoma kama mchezaji huru wakati ambao Ngoma tayari anamkataba na Yanga Uongozi wa Yanga umeamua
Kutokaa KimyaMwenyekiti wa usajili Klabu ya Yanga Hussein Nyika amefunguka kuwagoma alikuwa mgonjwa mwalimu wake kamuona ameshapona ameamua kumuita, Hawawezi kusema ni mchezaji huru wakati ni mchezaji wa Yanga na Anamkataba nafikiri ni makosa ya Kiuandishi ”

Nyika amesema aliongea na Ngoma siku kadhaa zilizopita na Ngoma akamwambia amepona na mwishoni mwa wiki hii angetua Yanga lakini bila kabla ya hayo kutimia ameitwa timu ya Taifa.
Nyika amesema pia Ngoma alipoumia Yanga walitaka kwenda kumtibu Afrika Kusini lakini mwenyewe alikataa na kusema kuwa ataenda kutibiwa kwa daktari wake Aliyepo Zimbabwe ambapo ni kwao kabla ya Baadhi ya Viongozi kudai kuwa aliondoka bila kuaga.