Ziwa Victoria: Wavuvi Mwanza walalamikia mashambulio ya watu wasiojulikana Tanzania

http://raiatanzania.blogspot.com/2018/05/ziwa-victoria-wavuvi-mwanza-walalamikia.html
Mkoani Mwanza ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania baadhi ya wavuvi wanadai kutatizwa na visa vya mashambulio ya mara kwa mara wakiwa kazini.
Baadhi hujeruhiwa na wengine kuporwa vifaa vyao vya kazi.
Mwandishi wa BBC Eagan Salla alitembelea kisiwa cha Zilagula ndani ya Ziwa Victoria na kuzungumza na baadhi yao.