Waziri Majaliwa akipokea mipira 25 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Cocacola Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea mipira 25 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Cocacola Tanzania Basil Gadcios, kwa ajili ya timu ya Namungo FC ya Wilayani Ruangwa, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

HABARI PICHA 7298597009639388574

Post a Comment

emo-but-icon

item