MAJALIWA AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA EAGT DKT. MWAKIPESILE
http://raiatanzania.blogspot.com/2018/05/majaliwa-akutana-na-askofu-mkuu-wa-eagt.html
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Dkt. Brown Mwakipesile, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)