Waziri Majaliwa amfariji Mohammed Chilambo ambaye Nyumba yake ilichomwa Moto
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/waziri-majaliwa-amfariji-mohammed.html
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji Katibu wa CCM wa Kata ya Mnacho , Mohammed Chilambo (kushoto kwake) ambaye nyumba yake imechomwa moto kwa sababu zinazodaiwa kuwa za kisiasa katika kijiji cha Chimbela B wilayani Ruangwa Desemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)