Ribery mzigoni
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/ribery-mzigoni.html
Kiungo mkonwe wa Bayern Munich, Franck Ribery amerejea mazoezini baada ya kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita akiuguza goti lake.
Ribery ,34, amekuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Imeelezwa goti lake lilipata tatizo la misuli ya ndani wakati Bayern ikivaa Hertha Berlin, Oktoba Mosi na kupata sare ya 2-2.
Kurejea kwa Riberry inaonekana ni mambo zuri kwa Bayern kwa kuwa kosa aliyerejea kikosini hapo angependelea kuendelea kumtumia yeye wingi moja na wingi nyingine pacha wake, Arjen Robben.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania, bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online