Nemanja amshusha presha Wenga

Baada ya klabu ya Manchester United kuibuka na ushindi dhidi ya Watford wa goli 4-2 kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho  aonekana kutokuwa na furaha kutokana na kiungo wake mkabaji Nemanja Matic kuwa na majeruhi yatakayo mkalisha nje uwanja kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Arsenal ‘The Gunners’Image result for nemanja matic
Matic, 29, alitoka uwanjani dakika ya 54 ya mchezo katika pambano ambalo Manchester United iliibuka na ushindi katika mchezo huo uliofanyika katika dimba la Vicarage Road. Mourinho kwenye mchezo wa December 2 atategemea huduma ya Herrera, Pogba na Mctominay.
Na kwa upande wa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger imekuwa kama habari njema kwake kwani anaona kama itakuwa kazi nyepesi kuifunga Manchester ambayo wana upinzani wa jadi.

Related

michezo 7259871386873070507

Post a Comment

emo-but-icon

item