Kichuya gumzo Katavi
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/kichuya-gumzo-katavi.html
MASHABIKI wa Klabu ya Simba waliomba kumuona Kichuya Katavi kwani ilikuwa ni faida kwao kila walipomuona.
Umaarufu wa Kichuya umezidi kupanda baada ya kufunga mabao katika mechi mbili mfululizo.
Kichuya alifunga bao katika mechi dhidi ya Yanga wiki iliyopita, mechi ikaisha kwa sare ya bao 1-1 lakini akafunga tena Simba ilipoishinda Mbeya City kwa bao 1-0.
JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania, bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online