Hiki ndicho alichokisema MC Pili pili kuhusu ndoa ya Dogo Janja na Uwoya

MCHEKESHAJI , Mc Pilipili, amefunguka mambo kadhaa kuhusu harusi ya Joti na Dogo Janja.
Image result for mc pilipili
Mc Pilipili amesema Joti alitamani sana angekuwa mshereheshaji katika harusi yake lakini kwa bahati mbaya alikuwa ameshakuwa booking sehemu nyingine, hata hivyo si kitu ambacho kilimzuia kushiriki katika sherehe hiyo.


Pia amezungumzia iwapo angekuwa mshereheshaji katika harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya kwa kueleza kuna baadhi ya mambo asingeyaruhusu kwa mfano Bwana harusi kumbeba Bibi harusi.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania,  bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online

Related

burudani 6282888607762494128

Post a Comment

emo-but-icon

item