DC Mjema akerwa na kasi ya Utendaji Kata ya Mchikichini

http://raiatanzania.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-akerwa-na-kasi-ya-utendaji.html

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amesema hajafurahishwa na utendaji unaofanywa na Viongozi wa Kata ya Mchikichini.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, DC Mjema, amesema kutowajibika kwa Watendaji hao kimesababisha kuwepo kwa migogoro mingi inayorudisha nyuma maendeleoDC Mjema akerwa na kasi ya utendaji kata ya Mchikichini.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, DC Mjema, amesema kutowajibika kwa Watendaji hao kimesababisha kuwepo kwa migogoro mingi inayorudisha nyuma maendeleo.
Aidha. DC Mjema, amesema Watendaji wa Mchikichini kuanzia ngazi za Mitaa, Pamoja na Kata hawafanyi kazi badala yake wanazidi kutengeneza migogoro baina ya Wananchi.
Amesema alichogindua ni kwamba Watendaji wachoni hawafanyi kazi, hivyo ameutaka uongozi huo kuwajibika na kutatua kero kama Serikali inavyotaka.
" Hii ni Serikali ya awamu ya tano inataka watu wafanye kazi, Sasa lazima twende na kasi ya Rais Magufuli ya kuwatumikia wanyonge na Umasikini.
Amesema Rais Magufuli amewataka Watendaji wote washuke chini kuwasikiliza wananchi na kutatua kero katika kuleta maendeleo. Kuhusu watu kununuliwa wanaoishi pembezoni Mwa Bonde la Mto Msimbazi, amesema mpango huo sio kweli na wananchi waishi kwa amani.
Amesema Serikali imeongea na Benki ya Dunia kwa ajili ya kutengeneza kingo za mto huo ili kuzuaia mafuriko na Maji yote yanayotiririka yatafuata mkondo hadi muhimbili na kufanyiwa uchakataji kwa ajili ya matumizi na mbolea itatumika kustaawisha bustani.
" Tunawaomba wananchi muishi kwa amani hadi Serikali itakapotangaza ujenzi huo, kwa Sasa tunawaomba muepuke na hao matapeli sisi kama Serikali tunawapenda na kama zoezi la kuwaondoa litafanyika upo utaratibu utakaofanyika" Ameongeza DC Mjema.
Katika hatua nyingine , DC Mjema, amesema suala la leseni Serikali itaratibu mpango huo ili iweze kuwatambua. Amewataka Vijana wa Boda boda, kama wapo waliobambikiwa kesi wahakikishe utaratibu unafuatwa ili warudishiwe Boda boda zao.
Katika hatua nyingine, amemtaka Diwani wa kata hiyo kufika katika ofisi yake ili kufikishwa ngazi ya mkoa kujibu tuhuma za kutowajibika kwa wananchi na kama atagundulika atamkabidhi suala hilo Mkurugenzi ili Sheria ifuatwe.
Katika kuona ulinzi na usalama unaimarika, DC Mjema, amewataka wakazi wakazi hao kuimarisha ulinzi Shirikishi na kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.
Wakati akijibu tuhuma za Rushwa dhidi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, kufika ofisini kwake kwa mahojiano zaidi na suala hilo amemkabidhi Afisa TAKUKURU Manispaa ya Ilala kufuatilia kwa kina na kama tuhuma hizo zitathibitishwa zina ukweli Sheria itafuata mkondo wake.
Aidha, DC Mjema, amesema Watendaji wa Mchikichini kuanzia ngazi za Mitaa, Pamoja na Kata hawafanyi kazi badala yake wanazidi kutengeneza migogoro baina ya Wananchi.
Amesema alichogindua ni kwamba Watendaji wachoni hawafanyi kazi, hivyo ameutaka uongozi huo kuwajibika na kutatua kero kama Serikali inavyotaka.
" Hii ni Serikali ya awamu ya tano inataka watu wafanye kazi, Sasa lazima twende na kasi ya Rais Magufuli ya kuwatumikia wanyonge na Umasikini.
Amesema Rais Magufuli amewataka Watendaji wote washuke chini kuwasikiliza wananchi na kutatua kero katika kuleta maendeleo. Kuhusu watu kununuliwa wanaoishi pembezoni Mwa Bonde la Mto Msimbazi, amesema mpango huo sio kweli na wananchi waishi kwa amani.
Amesema Serikali imeongea na Benki ya Dunia kwa ajili ya kutengeneza kingo za mto huo ili kuzuaia mafuriko na Maji yote yanayotiririka yatafuata mkondo hadi muhimbili na kufanyiwa uchakataji kwa ajili ya matumizi na mbolea itatumika kustaawisha bustani.
" Tunawaomba wananchi muishi kwa amani hadi Serikali itakapotangaza ujenzi huo, kwa Sasa tunawaomba muepuke na hao matapeli sisi kama Serikali tunawapenda na kama zoezi la kuwaondoa litafanyika upo utaratibu utakaofanyika" Ameongeza DC Mjema. Katika hatua nyingine , DC Mjema, amesema suala la leseni Serikali itaratibu mpango huo ili iweze kuwatambua.
Amewataka Vijana wa Boda boda, kama wapo waliobambikiwa kesi wahakikishe utaratibu unafuatwa ili warudishiwe Boda boda zao.