Kwa Picha: Mlipuko wa volkano 'wameza' nyumba za watu Hawaii, Marekani

Lava consumes a home, as volcanic activity continues on Kilauea"s east rift zone, within the Leilani Estates subdivision, near Pahoa, Hawaii, USA, 06 May 2018.Haki miliki ya pichaEPA
Image captionNyufa zaidi zimetokea katika mitaa ya Leilani na kuharibu nyumba za watu
Milipuko ya volkano katika eneo la Kilauea, Hawaii imeharibu zaidi ya nyumba 26 na inatishia kuharibu nyumba nyingine mamia kadha.
Nyufa mpya zilitokea usiku maeneo hayo. Tayari watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa makwao.
Baadhi waliruhusiwa kurejea Jumapili kuokoa wanyama wao, lakini maafisa wa serikali wanasema eneo hilo si salama.
Nyufa na mashimo mapya yalizuka usiku mtaa wa Leilani. Matope yenye moto yalirushwa futi 230 (mita 70) hewani.
Kisiwa hicho kilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi la nguvu ya 6.9 katika vipimo vya Richter Ijumaa.
Kilauea ni moja ya volkano zinazolipuka zaidi duniani. Imekuwa ikilipuka kwa miaka 35 sasa.
Steaming cracks moments before a fissure opened upHaki miliki ya pichaUSGS
Image captionBaadhi ya maeneo, nyufa zinazofuka moshi zilizuka
lava fissure on Makamae and Leilani StsHaki miliki ya pichaUSGS
Image captionMatope ya volkano yakirushwa mitaa ya Makamae na Leilan
The tenth fissure eruption occurs, threatening homes at the end of Pomaikai St near Pahoa, Hawaii, USA, 06 May 2018.Haki miliki ya pichaEPA
Image captionMaafisa wanasema nyumba 26 zimeharibiwa kisiwani humo. Mamia zaidi zimo hatarini
This image released by the US Geological Survey shows lava from a fissure slowly advancing to the northeast on Hookapu Street in Leilani Estates, Hawaii, on May 5, 2018.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionNyufa kumi tofauti zimezuka maeneo ya karibu, eneo la umbali wa 40km kutoka kwenye shimo la katikati ya mlima
Matope ya volkano yanaendelea kumwagika kutoka kwa volkano ya Kilauea, Hawaii
Evacuees fill out forms before being allowed to return to their Leilani Estates homes to gather belongings on May 6, 2018, near Pahoa, Hawaii.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionBaadhi ya wakazi waliruhusiwa kurejea kuwachukua wanyama wao baada ya kujaza fomu
Evacuees (L to R) Anastasia de Sousa, Nina Bermasina and Aunty Willy Kamalamalama de Sousa sit outside the emergency shelter where they are staying at the Pahoa Community Center on Hawaii"s Big Island on May 5, 2018 in Pahoa, Hawaii.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionWengi wanaishi kwenye kambi ya muda. Hawajui wataruhusiwa kurejea lini
In this handout photo provided by the U.S. Geological Survey, a column of robust, reddish-brown ash plume occurred after a magnitude 6.9 South Flank following the eruption of Hawaii"s Kilauea volcano on May 4, 2018Haki miliki ya pichaUSGS
Image captionVolkano ya Kilauea ililipuka Ijumaa, baada ya tetemeko la nguvu ya 6.9
Mount Kilauea in HawaiiHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMoshi wa volkano ukifuka kutoka kwa mlima Kilauea
Lava from volcanic fissures slowly flows and overtakes structures and trees in the Leilani Estates neighborhood in the aftermath of eruptions from the the Kilauea volcano on Hawaii"s Big Island on May 6, 2018 in Pahoa, Hawaii.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Lava emerges from the ground after Kilauea Volcano erupted, on Hawaii's Big Island on 3 May 2018, in this still image taken from video obtained from social mediaHaki miliki ya pichaREUTERS
Map of Hawaii
Steam rises from a fissure on a road in Leilani Estates subdivision on Hawaii"s Big Island on May 4, 2018.Haki miliki ya pichaAFP
Image captionKilauea ni moja ya volkano zinazolipuka zaidi duniani. Imekuwa ikilipuka kwa miaka 35 sasa.

Soma pia:

Related

KIMATAIFA 7821000888148342000

Post a Comment

emo-but-icon

item