http://raiatanzania.blogspot.com/2018/05/kongamano-la-siku-ya-mawasiliano-afrika.html
 |
Rais wa PRST {kulia), kati kati ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kongamano hilo (Merry } wakati kushoto ni Katibu wa PRST , Makura Ndege wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa Kongamano hilo Jijini Dar es Salaam leo (PICHA YUSUPH MWAMBA). DAR ES SALAA, NA YUSPH MWAMBA |
KONGAMANO la Siku ya Mawasiliano Barani Afrika, Kitaifa juu ya mchango wa Maafisa Uhusiano wa Umma katika kuchochea Sera ya Tanzania ya Viwanda yamefikia kilele leo kwenye Ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoko Posta Jijini Dar es Salaam, huku wadau mbali mbali kutoka taasisi binafsi na za Serikali wakitoa maandalizi ya kazi zao kwa pamoja katika kuleta maendeleo hapa nchini hususani katikaSera ya Rais Magufuli ya Uchumi wa kati na Tanzania ya Viwanda.
Angalia picha mbali mbali katika matukio yaliyotokea leo kwenye kongamano hilo .

 |
Rais wa PRST, Loth Makuza akiwa katika mstari wa mbele kufuatilia kwa karibu maada inayowasilishwa na wadau kwenye kongamano hilo la siku ya Mawasiliano Barani Afrika |

 |
Kaktibu wa PRST, Makura Ndege, akifuatilia kwa karibu kongamano hilo wakati watoa maada wakiwasilisha kwa wadau leo |