Francis Kabeo :walimu wafenyi kazi kwa bidii

http://raiatanzania.blogspot.com/2018/05/francis-kabeo-walimu-wafenyi-kazi-kwa.html
Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Francis Kabeo amesema walimu wanao wajibu wa kuendelea kutoa elimu iliyo bora na kufatilia maudhurio ya wanafunzi jambo ambalo litasaidia kuwepo kwa ufaulu mashuleni.
Kauli hiyo ameitoa wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi kwenye jengo la bweni la wasichana Inyonga Sekondari iliyoko Halmashauri ya Wilaya Mlele Mkoani Katavi.
Jengo hilo ambalo lina vyumba 32 lina uwezo wa kulaza wanafunzi 128 ambapo mpka kukamilika utagharimu kiasi cha Shilingi 181,000,000 na mpaka kufikia hapo tayari kiasi cha Shilingi 105,000,000 zimetumika ikiwa ni ufadhili kutoka mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)
Aidha kabeo alisema kuwa walimu wanao wajibu mkubwa katika kuleta mabadiliko ya elimu pale watakapojituma ili nchi iweze kuwa na wasomi na kwamba Serikali inajitahidi kugharikia miundo mbinu.
Pia alisema kwa sasa ni nchi ya Viwanda hivyo vijana wapende masomo ya ufundi kwani wanahitaji vijana wanaojua technlojia mbalimbali hivyo kuwasihi wazazi wapeleke watoto shule .
Kuwa nao wazazi wanao wajibu wa kuchangia maendeleo na katika elimu kwa kushirikiana kutoa chakula shuleni itamfanya mtoto kuongeza ufanisi wa elimu mashuleni.
Wachangie michango ya miundo mbinu kwa hiari washirikiane na wakurugenzi wao ili jamii iweze kuwa na maendeleo kwani Nauli mbinu watimize wajibu wao katika elimu bure
Nae Mkuu wa shule hiyo Abdalah Dawa alisema wanaishukuru Serikali kwa Mradi huo ambao utaenda kuwakomboa wanafunzi wa kike kuepukana na changamoto zilizopotaani huku jamii ikihamasika kuleta watoto wao kwenye mazingira rafiki.
"Bweni hili la wasichana litasaidia sana kuondoka na na vishawishi wananvyovipata njiani na pia litasaidia kutoa haki sawa kwa waichana kupata elimu hususani masomo ya sayansi na kukidhi mahitaji ya Sera ya Tanzania ya Viwanda." Alisema mwalimu Dawa