Majaliwa ampongeza Mwenyekiti mpya Uvccm


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza  Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017 (katikati) ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

HABARI PICHA 3086412080633970177

Post a Comment

emo-but-icon

item