http://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/waziri-jenista-atembelea-vituo-vya-hali.html
NA MWANDISHI WETU,ARUSHA
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Mwikolojia Bi.Clara
Manase alipokuwa akieleza faida ya kituo cha Utoaji wa Taarifa za Hali ya Hewa
kilichojengwa katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha mkoani Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na
baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea
Vituo vya Hali ya Hewa vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa
Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa
Serikali alipofanya ziara Wilayani Arumeru kujionea Vituo vya Hali ya Hewa
vinavyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa Kuimarisha Taarifa za
Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari.
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.
Jenista Mhagama akiwa katika ziara na Baadhi ya Watendaji wa Serikali
walioongozana naye kutembelea Vituo vya Hali ya Hewa vilivyofungwa na Mradi wa
Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mfumo wa Tahadhari Arumeru.(Picha zote
na: Ofisi ya Waziri Mkuu)