Profesa Mbarawa akutana na wajumbe wa Bodi na watendaji wa TBA Jijini Dar es Salaa.




WaziriwaUjenzi,UchukuzinaMawasilianoProfesaMakameMbarawa,akitoamaelekezokwaMtendajiMkuuwaWakalawaMajengo(TBA),MsanifuMajengoEliusMwakalinga,katikakikaokazikilichowakutanishawajumbewaBodinabaadhiyawatendajiwaWakalahuokatikaofisizaWizarajijini Dar es Salaam leo.
 
KaimuKatibuMkuuwaWizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), Dkt.William Nshama, akizungumzanawajumbewaBodinabaadhiyawatendajiwaWakalawaMajengo (TBA), katikakikaokazikilichofanyikakatikaofisizaWizarajijini Dar es Salaam leo,kujadilimaendeleoyautendajikaziwaWakalahuo.


MwenyekitiwaBodiyaWakalawaMajengo (TBA),Dkt. Edward NgwaleakifafanuajambokwaWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasilianoProfesaMakameMbarawa, katikakikaokazikilichowakutanishawajumbewaBodinabaadhiyawatendajiwaWakalahuokatikaofisizaWizarajijini Dar es Salaam leo.
WajumbewaBodiwaWakalawaMajengo (TBA), wakifuatiliakwamakinimazungumzoyaWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano,ProfesaMakameMbarawa,katikakikaokazikilichofanyikakwenyeofisizaWizarajijiniDaresSalaamleo,kujadilimaendeleoyautendajikaziwaWakalahuo.

MtendajiMkuuwaWakalawaMajengo (TBA), MsanifuMajengoEliusMwakalinga, akisisitizajambokwaWaziriwaUjenzi,UchukuzinaMawasiliano,ProfesaMakameMbarawa,katikakikaokazikilichofanyikakwenyeofisizaWizarajijini Dar es Salaam leo,kujadilimaendeleoyautendajikaziwaWakalahuo.


Related

habari 8090893573411406216

Post a Comment

emo-but-icon

item