Picha za darasa lililoporomoka ukuta na kusababisha vifo vya wanafunzi wawili

PICHA hizo ni darasa lililoporomoka ukuta na kuwaangukia wanafunzi wa shule ya msingi Sarawe iliyoko wilayani Bunda, na kusababisha vifo vya wanafunziu wawili na wengine sita kujeruhiwa vibaya hivi karibuni, wakati wakikiwa nje ya darasa hilo wapembua mahindi kwa ajili ya chakula cha wanafunzi shuleni hapo. (Picha na Ahmed Makongo)





















JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania,  bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online

Related

HABARI PICHA 7870658580054828683

Post a Comment

emo-but-icon

item