Mstahiki Meya wa Dar es Salaam ahudhuria miaka 500 ya KKT

NA YUSUPH MWAMBA

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana leo katika tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika katika Uwanja wa Taifa.Wakwanza kulia ni Waziri Mkuu Mstafu Frederick Sumaye.

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwa na Waziri Mkuu Mstafu Frederick Sumaye wa kwanza kushoto ,kwenye tamasha la Maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa.


JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania,  bila ya kuingia website Tweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online

Related

SIASA 8620467545663675471

Post a Comment

emo-but-icon

item