Dismas Ten Arusha Jiwe Upande Wa Pili


Ukionyesha maisha ambayo si yako kwa watu, ujue unajipotezea muda..! Waache watu waone wenyewe...! #nasisiwatu #nasisiwatu

Mkuu wa kitengo cha habari wa klabu ya Yanga amekua akirusha mawe gizani kimyakimya huku akiandika jumbe mbalimbali ambazo kwa tafsiri ya haraka unaweza kusema ni misemo lakini ukichunguza misemo hiyo kwa undani  basi utaelewa nini inamaanisha.

Mfano leo katika kupitapita kwenye mitandao ya kijamii nimekuta na posti hii ambayo moja kwa moja unaweza kusema imemlenga mtu fula japo kwakulinga na haki ya utani wa jadi jinsi ilivyo ni wazi kwamba amerusha jiwe upande wa pili yaani Simba na sio gizani tena.

Related

michezo 1467588885570644653

Post a Comment

emo-but-icon

item