Aslay athibitisha ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya
http://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/aslay-athibitisha-ndoa-ya-dogo-janja-na.html
MSANII wa muziki wa Bongo fleva Aslay amefunguka na kusema kuwa msanii Dogo Janja yeye ndiye alikuwa anamvia Irene Uwoya na kusema ni kweli sasa wameoana na wanaishi kama mume na mke.
Aslay amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa yeye anachojua watu hao saizi ni mume na mke na si kweli kuwa Irene Uwoya kwamba alikuwa anamvizia sana Dogo Janja bali yeye anaamini kuwa huenda Dogo Janja ndiye alikuwa anavizia penzi la Irene Uwoya

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania, bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online