KUMBILAMOTO AZIDI KUCHANJA MBUGA , KAMPENI ZAKE ZAWA GUMZO KILA KONA.

MGOMBEA nafasi ya Diwani kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Omary Said Kumbilamoto leo ameendelea na Kampeni yake ...

KUMBILAMOTO AFUNGUA KAMPENI KIBABE, MAMIA WAJITOKEZA KUMRAKI

ALIYEKUWA Diwani wa Kata ya Vingunguti na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Mh:Omary Said Kumbilamoto, jana amefungua kampeni yake ya kwa...

Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wake, Yapo ya kujifunza kupitia kwa Mh: Omary Kumbilamoto katika kuimarisha maendeleo ndani na nje ya eneo lake la kiutawala

Omary Kumbilamoto ni Mmoja ya Viongozi shupavu wenye ujasiri wa kujitoa kwa Wananchi wake katika kuhakikisha maendeleo yanakuwa kwa kasi na ...

ACT Wazalendo waitaka Serikali kuwaruhusu wanafunzi

  Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuwaruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu wafanye siasa vyuoni kwa taratibu zilizowekwa kwa sabab...

Diwani Kata Tandika afungua Baraza la Kata Uvccm kwa kishindo

DIWANI wa Kata ya Tandika kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dkt Ramadhani Likimangiza leo amefungua mkutano wa Baraza la Uvccm kwa mara...

index