Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wake, Yapo ya kujifunza kupitia kwa Mh: Omary Kumbilamoto katika kuimarisha maendeleo ndani na nje ya eneo lake la kiutawala

Omary Kumbilamoto ni Mmoja ya Viongozi shupavu wenye ujasiri wa kujitoa kwa Wananchi wake katika kuhakikisha maendeleo yanakuwa kwa kasi na kwa haraka zaidi, amekuwa nguzo imara sana katika Jamii inayotuzunguka hata mchango wake umekuwa ukioneka sana ndani na nje ya eneo lake la kiutawala anatumika nje ya mipaka lengo ni kuona Wanachi wanafikia malengo waliojiwekea kutoka kwa Viongozi wao waliwachagua mbali na kuwa mpinzania lakini amekuwa katika msatari wa mbele kushirikiana na Serikali ya awamu ya tano iliyoko chini ya Mh: Rais Magufuli ya hapa kazi tu.

Katika kutekeleza mipango yake dhidi ya Wananchi wake, Omary  Kumbilamoto, amefanya mengi sana kwa jamii hadi anakuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, kazi zake zimeonekana na sitokuwa mchoyo wa fadhila wa kumuelezea kwa sifa nyingi, mbali na mchango kwa Serikali hadi matatizo binafsi ya watu amekuwa akiyatatua bila ubaguzi wa aina yoyote ile kubwa zaidi amekuwa muumini wa kujali afya za Wananchi wake huku ahdai zake katika Sekta ya afya zikionekana kama vile KununuaGari la wagonjwa ahtua ambayo haijafanya na kiongozi yoyote wa Upinzani na hata katika Kata yake haijawahi kutokea, hivyo amekuwa mtu muhimu na nguzo imara sana kwa Wakazi wa Kata ya Vingunguti.

Hatua kubwa niyingine ni pale alipojitahidi kupandisha hadhi Zahanati ya Vingunguti na kupatiwa Nyota nne jambo ambalo lilifanya wakazi hao waendelee kuwa na imani na utawala wake, kupitia maendeleo mbali mbali Diwani huyo amekuwa sio mtu wa kupinga maendeleo kama wanavyofanya wanasiasa wengine kwani amekuwa akihakikisha kila mkazi wa Kata yake anapata huduma bora na salama bila kubagua dini, kabila wala chama hongera Kumbilamoto. 

Mengi ameyafanya ila leo tuishie hapa tutazidi kuangalia tena ndani ya miaka yake mitatu amefanya nini, na nini anatarajia kukifanya kwa sasa baada ya kumaliza ahdai za huduma ya afya sasa anageukia katika suala la Elimu huku nako anapambana kuhakikisha Elimu bure inamnufaisha kila mkazi wa Kata yake na kuchangia maendeleo kwa kasi katika mpango huo ili tufikie kaulimbiu ya Rais Magufuli ya Tanzania ya Viwanda.

Image result for MEYA OMARY KUMBILAMOTO

















SIKU KAMA YA LEO VIJANA NA WAZÈE KINAMAMA WALIVAA MADELA WAKISHANGILIA USHINDI YUPO KIONGOZI ALITUBEZA KUWA HAKUNA MABADILIKO WANAOTAKA WAVAE MADELA KWETU

VINGUNGUTI TULIAMINI MABADILIKO YANAHITAJIKA PICHA HIZO NI AHADI NILIZOTOA WAKATI WA KAMPENI NA

 NISIZOAHIDI NIMEFANYA UFUFUAJI WA VYOO,TV KTK ZAHANATI YETU, FENI ZA ZAHANATI,MIZANI YA KUPIMIA UZITO KWA WATOTO WADOGO

STEND ZA CHUMA ZA KUWEKEA MIZANI MASHINE YA KUFULIA MASHUKA KATIKA ZAHANATI YETU,UJENZI WA CHOO WODI YA KUJIFUNGULIA KINAMAMA,BAISKELI YA KUBEBEA WAGONJWA

GENERETA UMEME UKIKATIKA, KUFUNGA SOLAR KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA RELINI NILIAHIDI,VITANDA KTK WODI YA KINAMAMA.NAWASHUKURU WOTE

 WALIONISAPOTI HADI KUFIKA HAPA BILA KUWASAHAU MARAFIKI ZANGU WAANDISHI WA HABARI MUNGU AWABARIKI SANA. WAHENGA WALISEMA KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI .

Related

SIASA 817388970104562450

Post a Comment

emo-but-icon

item