DC Mjema awataka Mama lishe Feri Kivukoni kujitangaza

MKUU wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema, amewataka Mamalishe wa Zone Namba 4 wa Soko La Feri kujitangaza ili wafanye  Biashara.

Amesema ni wakati wao Sasa kutumia fursa ya kujitangaza kwa kuwa Soko la  Feri wao ndio wanaotambulika kisheria.

 Amesema Mwenyekiti wa Soko anatakiwa kutumia mbinu mbadala za kuwashauri Mama lishe na Baba lishe kuhakikisha wabakuwa wabunifu kuzalisha sana na kupata wateja kwanjia za matangazo mbali mbali.

Dc Mjema amesema watawaongezea ubora wa maeneo yao ili wafanya Biashara kupitia Manispaa.

 " Nataka kuwaambia ndugu zangu katika zone zote hapa Sokoni, Zone Namba 4 inatambulika kisheria katika kujihusisha na Mama lishe na Baba lishe, hivyo kwa kushirikiana na Manispaa tuyahakikisha tunawaboreshea miundombinu " Amesema DC Mjema.

Naye Katibu wa kikundi cha Mama lishe zone Namba 4, Bibi Maana Mpili, amesema wapo baadhi ya Mamalishe wanawachafulia kazi zao hususani mama lishe wa nje ambao Mteja anaweza kuzurika na Chakula na kuharibu Soko kwa wakina mama hao waliopo ndani ya Soko hilo.

Amesema Wa na changamoto ya Maji safi pamoja na vyoo na miundombinu. Amemuomba DC Mjema kumfikishia salama Rais Magufuli kufika katika eneo hilo na kuwasikiliza kama alivyofanya kwa wengine.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Zone Namba 4, Juma Mkwama, amesema kama Sheria na kanuni zitasimamiwa vizuri hakuna migogoro itakayotokea.

Amesema chanzo cha migogoro ni muuingiliano wa kazi za zone zilizopo katika Soko  hilo la  Samaki Feri. Amesema awali ulinzi Shirikishi ulusaidia sana katika kulinda amani na Mali zao lakini ujio wa Suma Jkt unatumia Pesa kubwa sana katika Soko lao.

Katika kutatua kero zao, Dc Mjema, amemuagiza Meneja wa DAWASA ilala pamoja na Uongozi wa Soko la Feri kusambaza Maji safi na Salama kupatikana haraka hadi kufikia Septemba 11 zoezi hilo liwe limekamilika.

Suala la  Ulinzi Shirikisho, Dc Mjema, emesema ulinzi Shirikishi  wanaufuta endapo kutakuwa na kiashiria cha watu wachache kujinufaisha. Hata hivyo Dc Mjema, amesema wakati wanakwenda kujenga Vyoo, wasisahau vyoo vya Wakina mama vya kubadilishia Nguo.

Katika hatua nyingine, DC Mjema, amemtaka Meneja wa Benki ya DCB Manispaa ya Ilala,  kufika ofisini kwake  kuelezea kama hataki kutoa mikopo watafute benki nyingine.

Pia amemuagiza Afisa Maendeleo wakati wa kumalizika kuratubu Mikopo, fursa hiyo iwe ya kwanza kuwafikia Wafanya Biashara ya Uvuvi Feri.

Suma jkt, unatumia Pesa kubwa sana katika Soko lao. Katika kutatua kero zao, Dc Mjema, amemuagiza Meneja wa DAWASA ilala pamoja na Uongozi wa Soko la Feri kusambaza Maji safi na Salama kupatikana haraka hadi kufikia Septemba 11 zoezi hilo liwe limekamilika.

Suala la  Ulinzi Shirikisho, Dc Mjema, emesema ulinzi Shirikishi  wanaufuta endapo kutakuwa na kiashiria cha watu wachache kujinufaisha. Hata hivyo Dc Mjema, amesema wakati wanakwenda kujenga Vyoo, wasisahau vyoo vya Wakina mama vya kubadilishia Nguo.

Katika hatua nyingine, DC Mjema, amemtaka Meneja wa Benki ya DCB Manispaa ya Ilala,  kufika ofisini kwake  kuelezea kama hataki kutoa mikopo watafute benki nyingine.

Pia amemuagiza Afisa Maendeleo wakati wa kumalizika kuratubu Mikopo, fursa hiyo iwe ya kwanza kuwafikia Wafanya Biashara ya Uvuvi Feri.

Dc Mjema awataka Mamalishe kujitangaza . MKUU wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema, amewataka Mamalishe wa Zone Namba 4 wa Soko La Feri kujitangaza ili wafanye  Biashara.

 Amesema ni wakati wao Sasa kutumia fursa ya kujitangaza kwa kuwa Soko la  Feri wao ndio wanaotambulika kisheria.

Amesema Mwenyekiti wa Soko anatakiwa kutumia mbinu mbadala za kuwashauri Mama lishe na Baba lishe kuhakikisha wabakuwa wabunifu kuzalisha sana na kupata wateja kwanjia za matangazo mbali mbali.

Dc Mjema amesema watawaongezea ubora wa maeneo yao ili wafanya Biashara kupitia Manispaa.

" Nataka kuwaambia ndugu zangu katika zone zote hapa Sokoni, Zone Namba 4 inatambulika kisheria katika kujihusisha na Mama lishe na Baba lishe, hivyo kwa kushirikiana na Manispaa tuyahakikisha tunawaboreshea miundombinu " Amesema DC Mjema.

 Naye Katibu wa kikundi cha Mama lishe zone Namba 4, Bibi Maana Mpili, amesema wapo baadhi ya Mamalishe wanawachafulia kazi zao hususani mama lishe wa nje ambao Mteja anaweza kuzurika na Chakula na kuharibu Soko kwa wakina mama hao waliopo ndani ya Soko hilo.

Amesema Wa na changamoto ya Maji safi pamoja na vyoo na miundombinu.

Amemuomba DC Mjema kumfikishia salama Rais Magufuli kufika katika eneo hilo na kuwasikiliza kama alivyofanya kwa wengine.

Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Zone Namba 4, Juma Mkwama, amesema kama Sheria na kanuni zitasimamiwa vizuri hakuna migogoro itakayotokea.

 Amesema chanzo cha migogoro ni muuingiliano wa kazi za zone zilizopo katika Soko  hilo la  Samaki Feri.

Amesema awali ulinzi Shirikishi ulusaidia sana katika kulinda amani na Mali zao lakini ujio wa Suma Jkt unatumia Pesa kubwa sana katika Soko lao. Katika kutatua kero zao, Dc Mjema, amemuagiza Meneja wa DAWASA ilala pamoja na Uongozi wa Soko la Feri kusambaza Maji safi na Salama kupatikana haraka hadi kufikia Septemba 11 zoezi hilo liwe limekamilika. .

Suala la  Ulinzi Shirikisho, Dc Mjema, emesema ulinzi Shirikishi  wanaufuta endapo kutakuwa na kiashiria cha watu wachache kujinufaisha..

 Hata hivyo Dc Mjema, amesema wakati wanakwenda kujenga Vyoo, wasisahau vyoo vya Wakina mama vya kubadilishia Nguo.

Katika hatua nyingine, DC Mjema, amemtaka Meneja wa Benki ya DCB Manispaa ya Ilala,  kufika ofisini kwake  kuelezea kama hataki kutoa mikopo watafute benki nyingine.

Pia amemuagiza Afisa Maendeleo wakati wa kumalizika kuratubu Mikopo, fursa hiyo iwe ya kwanza kuwafikia Wafanya Biashara ya Uvuvi Feri.

Post a Comment

emo-but-icon

item