Afisa Habari Manispaa ya Ilala akikagua Mradi wa Ujenzi Kituo cha Afya Mnyamani




















Afisa Habari Tabu Shaibu akichapia udongo wakati wa kukagua Mradi huo Jana ( PICHA NA YUSUPH MWAMBA).















DMO wa Manispaa ya Ilala , Emily Lihawa, akitoa maelekezo ya mradi huo kwa Afisa Habari Tabu Shaibu ikiwa ni kwa niaba ya  Katibu Tawala Sheila Edward ambaye alitakiwa kufika eneo hilo lakini ilishindikana na kupanga hadi Tarehe 7 atatembelea.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma, Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, akikagua Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyamani na kuona maendeleo yake ambapo DMO wa Manispaa ya Ilala,  Emily  Lihawa kusema muda sio mrefu Mradi huo utamalizika.







































Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

item