Picha za Kufunga mafunzo ya Waalimu waliojiunga na elimu ya shule ya Msingi kutoka Sekondari leo Mmnazi Mmoja



MANISPAA ya Ilala, leo wamefunga mafunzo ya Waalimu walio tekeleza agizo la Serikali la kujiunga na elimu ya Shule za Msingi wakitokea Sekondari, mgeni rasmi alikuwa Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Hamis Lissu, kwenye Shule ya Msingi Mnazi Mmoja leo.

Tukio hilo liliamabatana na zoezi la ugawaji wa Vyeti kwa wahitimu na zawadi mbali mbali zilizoandaliwa kwa ajili ya wale wote waliohusika kukamilisha mchakato huo, zawadi ziligaiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela.  























Post a Comment

emo-but-icon

item