Mkusanyiko wa picha za kuvutia zaidi kutoka kwa harusi ya kifalme kati ya MwanamfalmeHarry na Meghan Markle.
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionUmati ulishangilia Mwanamfalme Harry, ambaye sasa atakuwa Mtawala wa Sussex, na mkewe Meghan, Mke wa Mtawala wa Sussex, walipopitia kwenye barabara za mji wakiwa kwenye kigari cha kuvutwa kwa farasiHaki miliki ya pichaEPAImage captionInakadiriwa kwamba 100,000 walijitokeza barabara za WindsorHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionUmati wa watu ulikusanyika kando ya barabara kutazama msafara wa harusi ukipitaHaki miliki ya pichaPAImage captionMeghan na Mwanamfalme Harry wakiondoka kanisa la St GeorgeHaki miliki ya pichaPAImage captionDoria Ragland, mamake bi harusi, Charles Mtawala wa Cornwall (babake Harry) na mkewe Camilla wakiondoka kanisaniHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionWakiondoka kanisaniHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionWaliokuwemo walishangilia wawili hao walipokuwa wanapigana busuHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionWawili hao wakipigana busuHaki miliki ya pichaPAImage captionWawili hao wakiondoka kanisani baada ya kufunganishwa katika ndoaHaki miliki ya pichaPAImage captionHarry na Meghan sasa watakuwa Mtawala na Mke wa Mtawala wa SussexHaki miliki ya pichaPAImage captionMalkia na mumewe, Mwanamfalme Phillip walihudhuria sherehe hiyoHaki miliki ya pichaPAHaki miliki ya pichaPAImage captionMwanamfalme Harry akimfunua MeghanHaki miliki ya pichaPAImage captionKasisi Michael Curry, mkuu wa kanisa la Episcopal la Marekani ndiye aliyetoa mahubiri, ambapo aliangazia dhana ya upendoHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMwanamfalme Harry na Meghan MarkleHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionBi Markle alipokelewa na Mwanamfalme Charles (babake Harry) na kusindikizwa hadi kwenye madhabahu. babake, Thomas, anauguaHaki miliki ya pichaPAImage captionBi Markle na wasichana na wavulana wasaidizi wa harusi wakiingia kanisani. Mwanamfalme George na Bintimfalme Charlotte walikuwa miongoni mwa wasimamizi wa harusi hiyoHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMeghan Markle alifika Windsor Castle akiwa amevalia vazi la harusi lililokuwa limeshonwa na Mwingereza Claire Waight KellerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMeghan Markle aliondoka hotelini alimolala kuelekea Windsor Castle akiwa na mamake DoriaHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMke wa Mwanamfalme William, Kate, aliwasili na wasichana na wavulana waliosimamia harusi hiyoHaki miliki ya pichaREX/SHUTTERSTOCKImage captionMwanamfalme Harry alionekana mtulivu akiwapungia mkono waliokuwa wamefia kufuatilia harusi hiyo, alipokuwa anaelekea kanisani na kakakeHaki miliki ya pichaREUTERSHaki miliki ya pichaPAImage captionMwanamfalme Harry na Meghan Markle katika kanisa la St George kasri la Windsor CastleImage captionBi Meghan Markle akiwasili Windsor CastleHaki miliki ya pichaAFPImage captionMwanamfalme Harry na msimamizi wake kwenye harusi, kakake Mwanamfalme WilliamHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionBi Markle akiondoka hoteli ya Cliveden House akiandamana na mamake DoriaHaki miliki ya pichaTOLGA AKMEN/AFPImage captionWatu wengi wamekusanyika Windsor kufuatilia harusi hiyoHaki miliki ya pichaHANNAH MCKAY/REUTERSImage captionWatu hadi 100,000 wanatarajiwa kukaa kwenye barabara za mji huo kutazama msafara wa harusiHaki miliki ya pichaHANNAH MCKAY/REUTERSImage captionWengi walifika kwa treni, magari na mabasi kutoka kila pembe na Uingereza na hata nje ya nchi hiyoHaki miliki ya pichaDANIEL LEAL-OLIVAS/AFPImage captionWaliofika wakitembea kwenye barabara inayofahamika kama Long Walk kuelekea Windsor Castle.Haki miliki ya pichaPETER SUMMERS/PAImage captionBaadhi walikesha karibu na Windsor usiku kuhakikisha wanapata nafasi bora zaidi ya kujionea msafara wa harusiHaki miliki ya pichaPAImage captionWageni mashuhuri, wakiwemo Oprah Winfrey na Idris Elba, wamefika kwa sherehe hiyo St George's Chapel, Windsor CastleHaki miliki ya pichaTOM NICHOLSON/EPAImage captionWatu wa kawaida 1,200 - wengi wao wafanya kazi wa kusaidia jamii - walialikwa kwa harusi hiyoHaki miliki ya pichaDANNY LAWSON/PAImage captionKanisa la St George limepambwa kwa maua na matawiHaki miliki ya pichaDANNY LAWSON/PAImage captionKanisa la St George ndani ambapo pia limepambwa kwa maua na matawi