DC Hapi ataka bara bara chakavu zikamilike kwa wakati.

https://raiatanzania.blogspot.com/2018/01/dc-hapi-ataka-bara-bara-chakavu.html
DC Hapi ataka bara bara chakavu zikamilike kwa
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Happi, ametembeleawakati. miradi ya bara bara iliyo kwenye mpango ya ujenzi Wilaya ya
Kinondoni.
DC Hapi ataka bara bara chakavu zikamilike kwa
wakati.
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Happi,
ametembelea miradi ya bara bara iliyo kwenye mpango ya ujenzi Wilaya ya
Kinondoni.
Miongoni mwa bara bara ambazo zilipatwa
kutembelewa zikiwa chini ya ujenzi wa Tarura na Tanroad ni pamoja na daraja la
Sinza uzuri, Bara bara ya Makongo juu inayounganisha Goba pamoja na bara bara
ya Sala sala na Africana.
Akizungumza na waandishi wa habari Makongo juu ,
Jijini Dar es Salaam mara baada ya kukutana na Wanachi, Happi , alisema kuwa
lengo la kujenga bara bara hizo ni kurahisiha usafiri kwa wananchi ili kufaidi
kodi zao wanazozilipa kutoka Serikali kuu.
Ujenzi wa mradi wa bara bara ya ardhi-Makongo
Goba unakadiriwa kuwa na urefu wa KM 4.0
ambapo Km 3 ziko Manispaa ya Ubungo na Km 1 ipo
Manispaa ya Kinondoni.
Mradi huo wa bara bara ulioanza tarehe
1/2/2017 wenye mkataba wa miezi 12
unaotarajiwa kumalizika 31/1/2018 upo
kwenye kiwango cha lami chenye 91%
unagharimu kiasi cha pesa taslimu chenye thamani ya Sh. 9,129,107,453.
Happi alisema pamoja na kasi ya ujenzi wa bara
bara hiyo bado kuna changamoto za kutoa
taarifa ya uongo kwa mthamini jambo ambalo linachangia kwa kiasi kikubwa
ucheleweshwaji wa mradi wa bara bara.
"Taarifa za uongo zimekuwa kikwazo, wapo
wanaotoa taarifa za fidia ambazo sio sahihi, wengine waandika taarifa za watu
waliofariki na wengine hawapo kwenye malipo, swala kama hili linaiingizia Taifa
hasara na linachafua taswira ya nchi na miundombinu kubakia chakavu, naomba
wakandarasi mlete taarifa za kweli ili tuzisaini mapema utekelezaji uanze
haraka"alisema Happi
DC Happi aliwataka wale wote walivamia katika
maeneoe ambayo yalipaswa kuongezwa kupisha upanuzi wa bara bara ya Africana
waondoke wenye ndani ya wiki mbili kabla ya Serikali haijawaondoa.

Aliwataka Wakandarasi wanaohusika na ujenzi wa
kipande hicho cha batra bara chenye urefu wa Km 1 wapeleke mchakato wa kumpata
mdhabuni mapema ii ujenzi uanze haraka.
"Wale mliovamia maeneo haya mtoke mapema ,
wale watao ifuata bara bara watalipwa stahiki zao ila wavamizi waondoke
wenyewe, tukiwafuata watalipa fidia za ubomoja kutoka Serikalini"
Aliongeza Happi
.

JIUNGE NASI , BONYEZA HAPA http://www.raiatanzania.blogspot.com ku-install App ya raiatanzania, bila ya kuingia websiteTweet@Raia Tanzania online, youtube@Raia Tanzania online TV, Fb@Raia Tanzania online, insta@raia Tanzania online