TUZO YA HESHIMA ANASTAHILI JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA MCHANGO HUU WA MUZIKI TANZANIA
https://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/tuzo-ya-heshima-anastahili-jakaya.html
Kama ukitaja Marais ambao wapigania sana haki za wasanii basi huwezi msahau au kumuacha kumuweka kwenye nafasi za juu kwa kupigania wasanii na kukuza sanaa bongo.
Hakika anahitaji Tuzo muhimu sana na kukumbukwa kwani wasanii walinufaika hilo halina ubishi maana walikuwa karinu sana, Inachotakiwa ni kufanya kazi nzuri na wala si kusubiri kubebwa, kazi yako nzuri ndiyo itakayo kutoa, kila mtu asimame sehemu yake afanye kazi kwa bidii, Tujenge nchi Yetu.