HAMISA MOBETO AKIRI KUSHINDWA KWA DIAMOND PLATINUMZ JAPO KIROHO KINAMUUMA!!
https://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/hamisa-mobeto-akiri-kushindwa-kwa.html
Hamisa Mobeto akiri yaishe kumwacha Diamond Platinumz yaani mapenzi baasi maana big mama Zari amefanikiwa kumteka vibaya mno hamwachii nafasi.
Amekubali yaishe na kupambana na hali yake sio mapenzi tena kutoka kwa bwana Chibu,