Maneno ya Dismas Ten kuhusu usajili wa Yanga

Klabu ya Yanga kupitia kwa afisa habari wake Dismas Ten amesema  kuwa bado hawawezi kusema kama wameshamaliza usajili wa dirisha dogo mpaka tarehe ya mwisho ya dirisha hilo kufungwa.

“Muda bado upo kwahiyo chochote kinaweza kutokea, naweza kusema inabidi kusubiri mpaka muda wa mwisho wa usajili ufike ndipo tutasema tumemsajili nani na nani au tumemaliza dirisha dogo kwa kumsajili nani, ila kwasasa bado.”

Mpaka sasa Yanga wameshasajili wachezaji wawili wakati huu wa Dirisha dogo ambao ni Fiston Kayembe na Kinda wa Serengeti boys ya Gabon Yohanna Mkomola na Toka wakamilishe usajili wa Wachezaji hao wamekuwa kimya kwa muda.

Related

michezo 437519053731652076

Post a Comment

emo-but-icon

item