Roma & Stamina - kiba 100 imependeza zaidi

Kundi jipya la muziki wa Hip Hop, Rostam wameachia ngoma yao mpya itwayo ‘Kiba _100’ waliomshirikisha mwanadada Maua Sama.
Image result for roma na stamina waachia video mpya
Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Produced Bea kutoka Kill Records na upande wa video imeongozwa na NiCKLASS.

Related

burudani 4391231053832847231

Post a Comment

emo-but-icon

item