Yajue Magori bora 7 ya ushirikiano katika historia ya Ligi kuu Uingereza
https://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/yajue-magori-bora-7-ya-ushirikiano.html
WAKATI Ligi kuu ya
Uingereza ikiendelea kushika kasi, tumeshuhudia matukio mengi yakijitokeza
haswa katika suala la ufumaniaji wa nyavu, kumekuwa na magoli mazuri yakifungwa
na wimbi kubwa la magoli kwa baadhi ya timu zikioonekana kuwa vizuri katika
safu ya ushambuliaji.
Leo tunaenda kuangalia magoli bora saba yaliyotokana na
ushirikiano ya wachezaji wawili wawili
Mfano mzuri ni magoli yaliyotokana na Sturridge na Suarez,
Cole na Yorke, Sergio Auguero na Gabriel Yesu, lakini makubwa zaidi ni lile
goli bora zaidi kutoka kwa Thierry Henry na Robert Pires.
Magoli yaliyotamba hivi karibuni ni pamoja na
Kevin De Bruyne na Sergio Auguero , Christian Eriksen na Harry Kane ni moja ya
magoli mazuri yaliyotokana na ushirikiano (assist).
7. Ashley Young na John Carew - 14
6. Freddie Ljungberg na Thierry Henry - 15
5. Nolberto Solano kwa Alan Shearer - 16
4. Robert Pires na Thierry Henry - 17
2 = Darren Anderton kwa Tedddy Sheringham - 20
2 = Steve McManaman kwa Robbie Fowler – 20,
1. Frank Lampard kwa Didier Drogba – 24.