Mwakilishi Mkurugenzi Temeke atoa mwanya kwa Wananchi kuzungumzia kero zao

https://raiatanzania.blogspot.com/2017/12/mwakilishi-mkurugenzi-temeke-atoa.html
MWAKILISHI wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, John Bwana, amezungumza leo katika kipindi cha Maisha Mseto kinachorushwa kila siku asubuhi na 100.5 Times Fm radio, kuhusiana na maendeleo ya Temeke na kusikiliza kero za wananchi.

Pia aliwajibu wananchi maswali ya papo hapo. Matangazo hayo yalirushwa kutokea kituo cha basi Sudan.

Kituo hicho cha matangazo kipo kwenye msima wa pili wa kampeni ya ''kata kiu'' ambapo kwa msimu huu wa pili wameanzia katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke lengo kuu ni kuwakutanisha wananchi na watangazaji wao,pia kurusha vipindi vyao moja kwa moja.