Benzema awafuka Henry na Trezeguet

https://raiatanzania.blogspot.com/2017/11/benzema-awafuka-henry-na-trezeguet.html
Mshambuliaji hatari wa Real Madrid Karim Benzema kafanikiwa kuweka recod ya aina yake huku akiwatupa mbali Akina Henry na Trezeguet wote wakitoke nchi moja

Fuatilia record hii
KARIM BENZEMA ndiye mchezaji raia wa ufaransa anayeongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye historia ya michuano ya UEFA CHAMIPONS LEAGUE.
Orodha ya 3 bora ya wachezaji raia wa ufaransa wanaoongoza kwa magoli mengi kwenye historia ya michuano hiyo ni:
1.KARIM BENZEMA -⚽53
2.THIERY HENRY -⚽51
3.DAVID TREZEGUET -⚽33.